Paroles de la chanson Afro par Ben Pol
Chanson manquante pour "Ben Pol" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Afro"
Proposer une correction des paroles de "Afro"
Paroles de la chanson Afro par Ben Pol
afro afro
mtoto wa kisagama mama
salamuu zangu nakutumia
popote ulipo zipokee
nisalimie ndugu na wazazi wako mamaa popote walipo afro
mimi sijambo mawazo tele moyoni hii
mimi sijambo mawazo tele nina wasiwasiii
nikikumbuka tulivyo achana mara ya mwisho ulinihaidi afroo
tungeonana mapema siku zinapita bibie mbona sikuoni
tungeonana mapema aa bibie mbona sikuoni
afro mamayee iyoo
mtoto wa saganaehh eh

kaaa ukumbukeeeh mpenzi geukaa ah
leo kwangu kesho kwakoo
utanikumbuka ah
afro mamaeeh iyoo
mtoto wa saganaaae eh
kaka ukumbukeeh eh
mpenzi geukaa ah
leo kwangu kesho kwako mamaeeh
utanikumbukaeeh eh
wasalimie ndugu na wazazi wako mama popote walipo afro
mimi sijambo mawazo tele moyoni
mimi sijambo mawazo tele nina wasiwasi

leo kwangu kesho kwakoo mamaeh
utanikumbuka ah
afro mamaeeh iyoo
mtoto wa saganaaae eh
kaka ukumbukeeh eh
mpenzi geukaa ah
leo kwangu kesho kwako mamaeeh
utanikumbukaeeh eh
afro lakini nyaga saganaeh ehhh
usiniweke pembeni mamaah ah
ilaaa waako wengi wazuri mamii
lakini nimekuchagua wewe ehhh
tabia zako sawa na sura yakoooo
nimeridhika kuwa na wee ehh
tabia yako sawa na sura yakooo(ooo)
mtoto wa saganaehh eh
kaaa ukumbukeeeh mpenzi geukaa ah
leo kwangu kesho kwakoo mamaeh
utanikumbuka ah
afro mamaeeh iyoo
mtoto wa saganaaae eh
kaka ukumbukeeh eh
mpenzi geukaa ah
leo kwangu kesho kwako mamaeeh
utanikumbukaeeh eh
afro lakini nyaga saganaeh ehhh
usiniweke pembeni mamaah ah
ilaaa waako wengi wazuri mamii
lakini nimekuchagua wewe ehhh
tabia zako sawa na sura yakoooo
nimeridhika kuwa na wee ehh
tabia yako sawa na sura yakooo(ooo)
nimeridhika kuwa na weweee ehh
sagana unipeleke mama aahh
nikawaone wazazi wakooo ohh
na tz pia zifike mamiii
ukawaone baba na mama ahhh
mengine mengi sisemi mama ahhh
uamuzi nakuachia weee ehh
mwisho nakuombea salamaaa ahh
mpaka siku tutapooana ahh
afro mamayee iyoo
mtoto wa saganaehh eh
kaaa ukumbukeeeh mpenzi geukaa ah
leo kwangu kesho kwakoo mamaeh
utanikumbukaeeh ehh
afro mamaeeh iyoo
mtoto wa saganaaae eh
kaka ukumbukeeh eh
mpenzi geukaa ah
sagana unipeleke mama aahh
nikawaone wazazi wakooo ohh
na tz pia zifike mamiii
ukawaone baba na mama ahhh
mengine mengi sisemi mama ahhh
uamuzi nakuachia weee ehh
mwisho nakuombea salamaaa ahh
mpaka siku tutapooana ahh
afro mamayee iyoo
mtoto wa saganaehh eh
kaaa ukumbukeeeh mpenzi geukaa ah
leo kwangu kesho kwakoo mamaeh
utanikumbukaeeh ehh
afro mamaeeh iyoo
mtoto wa saganaaae eh
kaka ukumbukeeh eh
mpenzi geukaa ah
leo kwangu kesho kwako mamaeeh
utanikumbukaeeh eh
utanikumbukaeeh eh
Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)