Paroles de la chanson Leo par Country Boy

Chanson manquante pour "Country Boy" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Leo"

Paroles de la chanson Leo par Country Boy

Baby am smiling
Baby am smiling yeah for you
Baby am trying
Am trying to be perfect fot you

So come see me, see me
See me see me
Come see me singing
Singing singing
Oooh beiby tonight
Me can't wait for tonight

Me love what we do my beiby
My hands hold on you, my beiby
Tonight just me and you my beiby
Me going crazy for you my beiby

Turn the lights off, sound off
Champagne tryna sing a love song yeah
I wanna give you love
My beiby give me love

Leo nakubandika bandua
Bandika bandua
Leo nakubandika bandua
Bandika bandua

Leo nakubandika bandua
Bandika bandua
Leo nakubandika bandua
Bandika bandua

Mama umeshanichanganya
Kwenye kichwa changu umejazana
Ushanipa sana
Hadi nikitaka kucheat nasema hapana

Na vile umenimiss naona aibu
Kukwambia ufanye taratibu
Vile unanikiss napata majibu
Bila kuniambia mi ni wako tabibu

Napata mizuka 
Nakupa yote yote
Chekecha banjuka
Napita kote kote

Leo hakuna
Atakaye-enjoy mapenzi kuliko wewe
Dunia nzima hakuna
Nitakaye mpa mapenzi kushinda wewe

Leo nakubandika bandua
Bandika bandua
Leo nakubandika bandua
Bandika bandua

Leo nakubandika bandua
Bandika bandua
Leo nakubandika bandua
Bandika bandua

Leo nakubandika bandua
Bandika bandua
Leo nakubandika bandua
Bandika bandua

Leo nakubandika bandua
Bandika bandua
Leo nakubandika bandua
Bandika bandua

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)