Paroles de la chanson Kama Si Wewe par Goodluck Gozbert

Chanson manquante pour "Goodluck Gozbert" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Kama Si Wewe"

Paroles de la chanson Kama Si Wewe par Goodluck Gozbert

Nawala sio sababu ya jina langu
Wala sio sababu ninafaa
Najua sio sababu ya sadaka zangu
Maana ndio bado nina shangaa
Nlijua kwamba
Nimesha poteza nafasi
Mimi ni nani kwani
Nakosa neno kusema
Ooh unisamehe
Sikujua unanipenda hivi
Umefanya bure
Sawa na upendavyo
Ume ruhusu niwe
Vile upendavyo

Nita kushukuru tu
Kwa neema
Asante tu
Kwa wema
Nina kushukuru tu
Kwa neema
Asante tu
Kwa wema

Maana kama si wewe  
(Kama si wewe, Ningekua waaaapi)
Kama si wewe
(Kama si wewe, Ningekua waaapi)
Maana kama si wewe
(Kama si wewe, ningekua waaapi)
Maana kama si wewe
(Kama si wewe, ningekua waaapi)
Wacha machozi
(Wacha machozi Yatiririke tu
Yanitirike (
(Wacha kilio, Nikulilie MUNGU)
Bac wacha machozi
(Wacha machozi, Yatiririke tu)
Wacha kilio
(Wacha kilio, Nikulilie MUNGU)

Natafuta cha kunitenga nawe
Bado sijaona
Nilisha katwakatwa moyo
Na kupondwa na wanadamu
Leo wata niambia nini
Ni kiwa nawe
Leo wata niambia nini uuh uuuh
Ni kiwa nawe
Pesa huitwa sabuni
Ila ....Maji niwe
Unioshe bwana
Nitakase

Nita kushukuru tu
Kwa neema
Asante tu
Kwa wema
Nina kushukuru tu
Kwa neema
Asante tu
Kwa wema

Maana kama si wewe  
(Kama si wewe, Ningekua waaaapi)
Maama Kama si wewe
(Kama si wewe, Ningekua waaapi)
Kama si wewe
(Kama si wewe, ningekua waaapi)
Maana kama si wewe
(Kama si wewe, ningekua waaapi)
Wacha machozi
(Wacha machozi Yatiririke tu)
Yanitirike
(Wacha kilio, Nikulilie MUNGU)
Wacha machozi
(Wacha machozi, Yatiririke tu)
Wacha kilio
(Wacha kilio, Nikulilie MUNGU)

 

 

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)