Paroles de la chanson X par Harmonize
Chanson manquante pour "Harmonize" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "X"
Proposer une correction des paroles de "X"
Paroles de la chanson X par Harmonize
Nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
Hivi nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
Nikimwona analewa, namuelewa Anajiona kachelewa, age go
Na bado hajapewa
Viuno alivyopewa, Anajiona kachelewa, age go
Ohhh... uuhhh... ohhh!
Nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
Hivi nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
NEVER!

Vanamahako, twende kwalidu kula Nikatamwa, nguyopa chalidu chila

(Mh) Ibiza, Miami, mbali Hajapelekwa hata Zanzibari
Hapo Kizimkazi aka enjoy Low budget Dubai hatoboi
Anasikitisha X, Kama embe la mti wa porini
Anajipitisha X, Amekosa wa kumuweka mjini

Aaahhh... Bomboclaat!
It's Konde Boy, call me Number One!
Bakhresa
Ahhhill
Konde Music Worldwide!
Eh! Sikumpenda tu, nilimtukuza
Nikala bata bila kumchunguza (babe)
Mambo madogo akayakuza
Eti kisa upendo akaniburuza

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)