Paroles de la chanson Kenya - Ee Mungu Nguvu Yetu par Hymne national

Chanson manquante pour "Hymne national" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Kenya - Ee Mungu Nguvu Yetu"

Paroles de la chanson Kenya - Ee Mungu Nguvu Yetu par Hymne national

Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Na tukae na udugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi

Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya tunayoipenda
Tuwe tayari tuilinda

Na tujenge taifa letu
Ee ndiyo wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment

Les plus grands succès de Hymne national