Paroles de la chanson Tulia par Kelechi Africana

Chanson manquante pour "Kelechi Africana" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Tulia"

Paroles de la chanson Tulia par Kelechi Africana

Mapenzi ya hasara roho
Unapo penda Paso dhamana
Wengi vilio vya ku achwa aaah
Nafsi nani suta
Why niko single
Waza kupenda Ila na hofia aaa
Kuna kabinti kamoja
Kame ziteka hisia zangu
Moyo ngoja
Ila hisia naumiamwenzangu
Ata mimi nampenda
Ila je atabaki nami
Naomba Mola asije enda
Yeye atabaki nami

Tulia moyo
Upendo wasio na imani
Tulia moyo
Aaah moyo wangu tulia
Tulia moyo
Upendo upendo hee.... hee
Tulia moyo
Aaah moyo wangu tulia aaah
Hee hee eeee

Wengi wao wana lalama
Mapenzi yana umiza
Ooh na kazana nani nimpende nani niwe nayeee
Mapenzi biashara ivo una nyumba au una hela aah
Sina cha maana vipi nitawazi ukapera aah
Kama utani penda ni pende uwezi niacha tu roho yangu
Sina haja ku lalama nta mwomba Mola nami ani umbie wangu
Ila kuna kale kabinti kanako ni poza roho
Mola naomba kalinde kasije ni toa roho
Ila kuna kale kabinti kanako ni poza roho
Mola naomba ahee ayee ayee

Tulia moyo
Upendo wasio na imani
Tulia moyo
aaah aah moyo wangu tulia
Tulia moyo
Upendo upendo hee...hee
Tulia moyo
aah moyo wangu tulia

 

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)