Paroles de la chanson Hayafai par Kidum

Chanson manquante pour "Kidum" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Hayafai"

Paroles de la chanson Hayafai par Kidum

Unataka nijiue
Hutosheki na pendo langu
Mawinbo nimeimba, maua nikaleta
Ili tu nione tabasamu lako
Milima na mabonde, kunyeshewa na mvua
Ili tu nioneshe upendo wangu kwako
Inashangaza , Unae mpenda huwa hakupendi
Inaumiza, kuona kwamba hizi siku zote hujatambua
Kuhusu upendo wangu kwako
Unaniringia, huchukui simu zangu
Kila saa nikuninunia
Natamani kuskia kutoka kwako

Kunitenda kunitesa nakunikejeli
Ni mambo hayafai, hayafai
Kunitenda kunitesa nakunikejeli
Ni mambo hayafai, hayafai
Haya haya haya haya hayafai
Haya haya haya haya hayafai

Unataka kuniona tu nikiwa nimechizi
Si kitu mzuri si ustaarabu
Mapenzi isiwe chanzo chakuniweka mimi kwa magoti
Rekebisha
Nitatuma ujumbe mfupi kwa simu kama Leo alafu unajibu
Baada ya siku mbili
Unashindwa kunieleza kama unamwengine unaenzi
Kuniliko
Unanichanganya, nikidhani unanipenda sana
Alafu unabadilika, natamani siku zetu za hapo mwanzo

Kunitenda kunitesa nakunikejeli
Ni mambo hayafai, hayafai
Kunitenda kunitesa nakunikejeli
Ni mambo hayafai, hayafai
Kunitenda kunitesa nakunikejeli
Ni mambo hayafai, hayafai
Kunitenda kunitesa nakunikejeli
Ni mambo hayafai, hayafai
Haya haya haya haya hayafai
Haya haya haya haya hayafai
Haya haya haya haya hayafai
Haya haya haya haya hayafai

Unaniringia, huchukui simu
Kila saa nikuninunia
Natamani kuskia kutoka kwako
Kunitenda kunitesa na kunikejeli
Ni mambo hayafai, hayafai
Kunitenda kunitesa na kunikejeli
Ni mambo hayafai, hayafai
Haya haya haya haya hayafai

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment