Paroles de la chanson Ganji ya Church par King Kaka

Chanson manquante pour "King Kaka" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Ganji ya Church"

Paroles de la chanson Ganji ya Church par King Kaka

Hallelujah, hallelujah
Hallelujah, hallelujah
Hallelujah, hallelujah

Niaje sec nimekam kucheki pasi
Nahitaji advice kutoka kwake kiasi
Nimetry kumcall pia nangos yake mteja
Nikaona nijilete atleast nicheki radar

Ako busy kwa sasa anafanya ma annointment
Ndio umcheki lazima ukuwe na appointment
Aah hizo stori weka kando
Mshow tu ni mimi tulianza na yeye kitambo

Oh you lucky ndo huyo anaingia mfuate
Shalom na hizo baraka uzipate
Niaje pasi manze si umenithrow jo
Kwani ni aje kuna go bro?

Pole mtumishi sijakuwa sana kwa cellular
Makesha kibao na mchana tuko seminar
I understand manze mtumikie Jah
Lakini pasi namalizwa na njaa

Najua time ka hii ndo nafaa kupea God sifa
Ama naona hapa tu nafaa ku see far
Psalms 127 hapo kwa Verse 2
I trust to God atakam thru'

Saa zingine atadelay atadelay tu kiasi
Lakini akikam hatrick yake huwa ni classy
Unakumbuka ukianza ma sermon pale kwa mabati
Sai nakucheki kwa Range hio ndo mabati

Private plane while buda mi nadu vizii
Suti designer Mark Jacob, Lui V
Na si ati buda nakuonea
Nilicheki turnover kwa TV nyi mabillionaire

Ooh niliona hio report iliuma kiplani
Do not store your wealth hapa duniani
According to Mathew 6 ah kumi na tisa
I hope mtu wangu ah unaniskiza
Na pia I understand your frustration
Umeona testimony yangu lazima pia nimention

Okay Bible aside, leo nitadishi nini?
Na maombi zangu kwani zitajibiwa lini?
Ama we hupeleka zako kwanza na zetu on hold
Buda nipatie number direct ya God

Kwanza jua patience inakuwa long way
Niko na meeting na pastor Ng'ang'a wacha nikuombee
We wacha yaani napata this for less
Kila Sunday ganji zinabebwa na G4S
Uniombee aje na life yangu imekwama
Leo unapokea lawama gadmn it buda
I swear men

Do not mention the name of the Lord in vain
Yaani unataka kuni cain sababu uko able
Tusifanye story yetu kama Cain na Abel
Kwenda uko fala hii ata usitake a step

Leta hio walenje na uniandikie ka cheque
Ephesians 4:2 -7 buda deduce
Yaani mbona uwache sheito aku use
Shut up buda, shut up buda, shut up
Na usalimie Yesu on your way

Hallelujah, hallelujah
Hallelujah, hallelujah
Hallelujah, hallelujah

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment