Paroles de la chanson Sija Ona Kama Wewe par Patrick Kubuya

Chanson manquante pour "Patrick Kubuya" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Sija Ona Kama Wewe"

Paroles de la chanson Sija Ona Kama Wewe par Patrick Kubuya

Sijaona kama wewe, muumbaji wa mbingu na nchi
Roho yangu yakusifu ewe mfalme
Kwa jina lako bwana wangu mabaya yote yanashindwa
Nani atayesimama mbele zako
Sijaona kama wewe, muumbaji wa mbingu na nchi
Roho yangu yakusifu ewe mfalme
Kwa jina lako bwana wangu mabaya yote yanashindwa
Nani atayesimama mbele zako
Sijaona kama wewe, muumbaji wa mbingu na nchi
Roho yangu yakusifu ewe mfalme
Kwa jina lako bwana wangu mabaya yote yanashindwa
Nani atayesimama mbele zako

Ummoja tangu mwanzo unapita na mawazo
Maarifa yako bwana ni makubwa
Kimbilio la vizazi sijaona kama wewe
Nguvu zako bwana wangu zinatisha
Ummoja tangu mwanzo unapita na mawazo
Maarifa yako bwana ni makubwa
Kimbilio la vizazi sijaona kama wewe
Nguvu zako bwana wangu zinatisha

Bahari yakutii milima yatetemeka
Kwa sauti yako tu muumbaji wa vyote
Nini bwana wangu iliyo ngumu kwako
Yote unaweza muumbaji wa vyote
Bahari yakutii milima yatetemeka
Kwa sauti yako tu muumbaji wa vyote
Nini bwana wangu iliyo ngumu kwako
Yote unaweza muumbaji wa vyote

Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea
Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea

Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea

Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe tangu mwanzo
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe tangu mwanzo
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe tangu mwanzo
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe tangu mwanzo

Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe tangu mwanzo
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe tangu mwanzo

Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea
Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment