Paroles de la chanson Simba par Rose Muhando

Chanson manquante pour "Rose Muhando" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Simba"

Paroles de la chanson Simba par Rose Muhando

Simba lololo, simba anaguruma
Simba lelele, simba anaguruma
Simba wa kike anaguruma leo, simba anaguruma
Simba nyikani anaguruma wowo, simba anaguruma
Simba porini anaguruma leo, simba anaguruma

Mwambieni yule mbweha, nimerudi kutoka njangwani
Nimesimama tena kwenye zamu yangu
Wapeni habari wale umbwa
Hii si bahati mbaya, mbingu zimeniamini 
Mungu amenidhibitisha

Mpe salamu Yezebeli
Nimerudi kutoka njangwani
Nimesimama tena kwenye zamu yangu
Wapeni habari wale umbwa
Hii si bahati mbaya, mbingu zimeniamini 
Mungu amenidhibitisha

Simba lololo, simba anaguruma
Simba lelele, simba anaguruma
Simba anaguruma, simba anaguruma
Simba anaguruma, simba anaguruma

Mimi simba wa kike
Kuwinda ndio asili yangu
Nitawinda popote, nitaguruma popote
Mbele ya mnyama wowote, kwenye pori lolote
Katika nyakati zote, sitaogopa chochote
Sitanyamaza hadi Mungu atakaponitwalia utukufu

Jeuri yangu, kumcha bwana ndio jeuri yangu
Kumcha bwana ndio fahari yangu
Kumjua Mungu ndio jeuri yangu
Kumcha bwana ndio jeuri yangu

Simba lelele (Mawindoni niko mawindoni)
Simba anaguruma leo (Mawindoni niko mawindoni)
Simba wa kike anaoguruma leo, simba wowowo 
(Mawindoni niko mawindoni)

Kumcha bwana ndio jeuri yangu, simba
Kumjua Mungu ndio jeuri yangu, simba yeyee
Malengo yangu mimi ni Mungu wangu, simba yeyee
Fahari yangu mimi ni Mungu wangu, simba yeyee
Simba lelele (Mawindoni niko mawindoni)

Simba wa kike hodari katikati ya mawindo
Nitatenda kwa akili, kuyafumbua mafumbo
Nitanguruma alfajiri, jioni nilete mawindo
Sitanyamaza mpaka Mungu anipatie utukufu
Simba lelele (Mawindoni niko mawindoni)

I'm a champion (Yeah yeah)
Champion (Yeah yeah)
Super champion (Oh Yeah yeah)
Mimi champion, I'm a winner 

I'm a champion (Yeah yeah)
Champion (Yeah yeah)
Super champion (Oh Yeah yeah)
Mimi champion, I'm a winner 

I'm a champion (Yeah yeah)
Champion (Yeah yeah)
Super champion (Oh Yeah yeah)
Mimi champion, I'm a winner 

Simba lololo, simb

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)