Paroles de la chanson Kwa Mrombo par Whozu

Chanson manquante pour "Whozu" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Kwa Mrombo"

Paroles de la chanson Kwa Mrombo par Whozu

S2KIZZY baby

Kwa mrombo… eeh Kwa mrombo eeh
Kwa nrombo eeh  Kwa mrombo
Ita boda twende
Kwa Mrombo … eeh  Kwa Mrombo
Choma nyama kula eh
Kwa Mrombo … eeh  Kwa Mrombo
Manyama manyama

Zi mpaka zi mpaka zi (Zi)
Zi mpaka zi mpaka zi (Zi)
Zi mpaka zi mpaka zi (Zi)
Zi mpaka zi mpaka zi (Zi)

Naamka asubuhi na usingi (zi)
Naenda kunywa chai ya tangawi (zi)
Na kitafunio cha maanda (zi)
Amenikataa Mimima (zi)
Kwani kunguru na kanga mzuri na nani
Mzuri kaaga mwenye madoa
Mmm eeeh   Mzuri nani eeh
Mzuri  kanga mwenye madoa

Ebe ebe ebe eehehe ebe ebe eberere
Ebe ebe ebe eehehe ebe ebe eberere

Pandisha mayenu
Nandisha mayeye mayenu mayeye
Pandisha mayenu
Pandisha pandisha mayenu

Kwa mrombo… eeh Kwa mrombo eeh
Kwa nrombo eeh  Kwa mrombo
Ita boda twende
Kwa Mrombo … eeh  Kwa Mrombo
Choma nyama kula eh
Kwa Mrombo … eeh  Kwa Mrombo
Manyama manyama

Eeh tunayabambia machinene (aloo)
Kama hujachangia usisogee (sepaa)
Tunakunywa bia mapededje
Nakujenga tutajenga pia (labda uzee)

Kwani kunguru na kanga mzuri na nani
Mzuri kanga mwenye madoa
Mmmh eeeh , mzuri nani eeh
Mzuri kanga mwenye madoa

Ebe ebe ebe eehehe ebe ebe eberere
Ebe ebe ebe eehehe ebe ebe eberere

Pandisha mayenu
Nandisha mayeye mayenu mayeye
Pandisha mayenu
Pandisha pandisha mayenu

Kwa mrombo… eeh Kwa mrombo eeh
Kwa nrombo eeh  Kwa mrombo
Ita boda twende
Kwa Mrombo … eeh  Kwa Mrombo
Choma nyama kula eh
Kwa Mrombo … eeh  Kwa Mrombo
Manyama manyama

 

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment